Membe: Musiba na Mchange anayewatuma kunichafua kwanini hamnipeleki mahakamani? Kama mnaweza kunirekodi mmeshindwa nini kutoa huo ushahidi

mkuu uko serious ikulu ijibu kila tuhuma ama tetesi ...
Sio tuhuma zote, lakini tuhuma in mgojwa mahututi au ame rest in peace sio za kuacha zizagae kwa afya ya usalama wa nchi.
Na sio lazima kujibu kwa kutoa nyimbo za mipasho bali inaingizwa ratiba ndogo ya shughuli za rais. Hilo ni jibu tosha la uvumi
 
Membe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya

Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika


Pia sio vizuri kuwatumia vijana kubweka mtandaoni kuisema serkali

Tuendelee kumuunga mkono mh Rais Kwa uchapa kazi
Acha uchochezi,kama wana vielelezo vya wizi wake si waende kwa court. Au ninyi ndiyo mbilikimo anaowasema ndugu Membe
 
Wewe nadhani unapoteza kipaji chako. Ungeamua kufanya kazi na Khadija Kopa, ungeweza kuwa msanii bora wa East Afrika au hata wa Afrika nzima.
 
Sasa walivyokaa kimya the Mh.Rais akawa anadhihakiwa wewe unaona ndo sawa!!?
 
Ina maana Ana jeshi lake ? Jee Kama na mwingine naye akawa na jeshi lake naye la watu milioni tano. Na mwingine na mwingine. Itakuwaje.

Musiba ni Nani huko tz. Serekalini Ana cheo gani. Anaongea kama Nani ?
Jeee katiba inamtambua Kama Nani.
 
Membe haya anaytaka mwenyewe sio siri ,sijui anawashwa nini
Anataka umaarufu. Ni jamaa mjinga sana. Anafikiri yeye ni mtu mwenye akili sana kuliko Watanzania wote.

Hii ni matatizo ya watu kutoka Bush..wakipata nafasi za kuona Ulaya na kuzungumza na wazungu anajiona wao ndiyo babu kubwa. Hawajui kuwa ni utindiga tu.

Membe ni limbuken sana. Ni kosa la Rais Kikwete kumpa madaraka. Yamemfanya awe na bichwa kubwa.

Unajua jamaa haheshim cheo cha URais wetu hata mara moja!

Rais Magufuli mwonyeshe huyo jamaa wewe ni nani. Kipige ribiti wa miaka mitano nyumbani hicho kikaragosi kama Mwalim Nyerere alivyo mzuia Mr Sanga, Mbunge.
 
Wote hawa wametumwa na Magu.
 
Ina maana Ana jeshi lake ? Jee Kama na mwingine naye akawa na jeshi lake naye la watu milioni tano. Na mwingine na mwingine. Itakuwaje.

Musiba ni Nani huko tz. Serekalini Ana cheo gani. Anaongea kama Nani ?
Jeee katiba inamtambua Kama Nani.
Musiba anatumwa na Meko
 
unaambiwa mange kimambi wa insta alishajibiwa kwa vitendo ,au humkumbuki muroto?
 
Najua nchi hii kuna wendawazimu wengi lakini sidhani kama wanafika milioni 3.
Musiba alisema kwa msisitizo kuwa ana wafuasi zaidi ya milioni 3. Ina maana ni kati ya 3'000,001 hadi 3,999,999. Hatariiii!
 
Kuhani wa fitina na mbwekaji wa taifa katika ubora wako.
 
Kwahiyo picha na jeshi ndio unatutisha?
 
you have the right ya kuzusha kila kitu...
Ikulu sio kikundi cha taarabu mkuu...
Akisha kubali cheo kile mahali alipo sio siri tena! Sasa mnamficha kwa nini?
Ngojeni walete uzushi tena kuwa yuko GAMBOSHI anatibiwa ndio mtakapo imba "hauwezi kushinda....." hadi sauti ikauke.
 
thats exactly what happened...
Kaapisha watu mapema sana na kawagaia watu sambusa ku demo kama yuko fit..
Sio tuhuma zote, lakini tuhuma in mgojwa mahututi au ame rest in peace sio za kuacha zizagae kwa afya ya usalama wa nchi.
Na sio lazima kujibu kwa kutoa nyimbo za mipasho bali inaingizwa ratiba ndogo ya shughuli za rais. Hilo ni jibu tosha la uvumi
 
Asante kwa taarifa. Ngoja tuone itaishia wapi. Na ile kesi yake dhidi ya Musiba iliishia wapi?
Kesi ya cyprian Musiba amepata ufadhili wa Daud Bashite kumsaidia kuajiri mawakili na mbinu nyingine za kumdhoofisha membe mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…