kati yako na membe nani anajua serikali? mkitumwa uliza vizuri: je, ikitokea njiani tukakutana na shushushu mbobezi na mwanadiplomasia nguli ( lavlov like) tufanyeje? unauza sura?Membe tulia. Ulitaka Serikali ijibu uzushi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kati yako na membe nani anajua serikali? mkitumwa uliza vizuri: je, ikitokea njiani tukakutana na shushushu mbobezi na mwanadiplomasia nguli ( lavlov like) tufanyeje? unauza sura?Membe tulia. Ulitaka Serikali ijibu uzushi ?
Hawa jamaa bwana . Kaka yake nae katuachia kujimwambafymwambafy!Wabwekaji wa taifa?!!!.......... Huu ni msamiati mpya!
ID yako na ulichoandika ni vitu havifanani kabisaEti Musiba ndio Good looking mwenye sura ya kuvutia handsome kulikowwanaume wote mkoa wote wa mara.
Hili JITU lipo SMART kichwani hadi linatia hasira. Yani linatupa MAWE kwa Mkulu kupitia kwa wabwekaji wa taifa.Anaandika Bernard Membe.
Rondo- Lindi.
Watanzania Wenzangu! Nawasalimia! Kwa siku tatu mfululizo magazeti ya makuhani wa fitina na unafiki Musiba na Mchange na wenzao wamekuwa wakinishambulia kwa uchochezi wa sintofahamu iliyotokea kuanzia Alhamisi tarehe 17 Octoba siku ambayo Mhe Rais ameondoka Lindi kuelekea Dar hadi Jumapili ya tarehe 20. Mimi nipo Kijijini kwangu Rondo kwa mwezi mmoja sasa.
Ni nini hicho nilichokisema au kukiandika kwenye mitandao ya kijamii? Kwa kuwa mawasiliano yangu yote nayafanya kwa simu yangu ambayo inasikilizwa na kudukuliwa, naviomba vyombo vinavyohusika vitoe hadharani mazungumzo na maandishi yangu ili watu wasikie, wasome na wanihukumu. Napenda niuhakikishie umma kuwa Mimi sikuwa mjinga! Nilijua kuwa nikisema au kuandika vibaya, wabaya wangu wataninyooshea vidole.
Sikuingia kwenye mitego yao hiyo. Mimi kama Watanzania wote wenye akili za kawaida nilishangazwa sana na ukimya wa Serikali huku damage na rumours zikiwa zimetanda kote nchini bila kuzitolea maelezo kwa siku 3 mfululizo! Mhe. Rais ni kiongozi wa Umma. Inapotokea sintofahamu au upotoshaji wowote ule, ulikuwa ni wajibu wa Msemaji wa Ikulu au wa Serikali kukanusha na kuweka mambo sawa kama wanavyofanya siku zote.
Vinginevyo wale wenye akili za mbilikimo na makuhani wa unafiki wanachukua mwanya huo kutunga ya kwao ili kumfurahisha Mhe. Rais. Good governance requires quick response to rumours. Rumours left unattended damages governance! Narudia! Naviomba vyombo husika vitoe hadharani nilichokisema au kupost kwenye mitandao ili nihukumiwe na Wananchi wenyewe na sio na Wabwekaji wa Taifa.
Ben Membe.
Rondo- Lindi.View attachment 1241102View attachment 1241103
Wewe ni bogus kweli unafikiri ki-academically sana umekwenda ukabeba general definition ya treason. Mimi naongelea definition according to our Penal Code wewe vuvuzela!!muwe mnafanya utafitikwanza bila kulopoka tu. et trason ni kwa rais wa nchi tu...
treason
[ˈtrēzən]
NOUN
high treason (noun) · high treasons (plural noun) · treasons (plural noun) · petty treason (noun) · petty treasons (plural noun)
- the crime of betraying one's country, especially by attempting to kill the sovereign or overthrow the government.
"they were convicted of treason"
synonyms:
treachery · lese-majesty · disloyalty · betrayal · faithlessness · perfidy · perfidiousness · duplicity · infidelity · sedition · subversion · mutiny · rebellion · high treason · Punic faith
antonyms:
allegiance · loyalty
- the action of betraying someone or something.
"doubt is the ultimate treason against faith"
synonyms:
treachery · lese-majesty · disloyalty · betrayal · faithlessness · perfidy · perfidiousness · duplicity · infidelity · sedition · subversion · mutiny · rebellion · high treason · Punic faith
antonyms:
allegiance · loyalty- historical
the crime of murdering someone to whom the murderer owed allegiance, such as a master or husband.
Huyo unaetaka tumunge mkono yuko wapi mbona hatumuoni ktk TvMembe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya
Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika
Pia sio vizuri kuwatumia vijana kubweka mtandaoni kuisema serkali
Tuendelee kumuunga mkono mh Rais Kwa uchapa kazi
Sikubaliani na Membe.
Ilichokifanya serikali nadhani ndicho kilikuwa sahihi.
Kwamba, tetesi za kijuha na kipumbavu, ni vyema kuzipuuza kwa maneno lakini pia kuzijibu kwa vitendo ndani ya muda mzuri.
Rais kujitokeza na kuendelea kufanya kazi zake, lilikuwa ni jibu murua kabisa kwa majuha wote walioshiriki kutunga na kueneza uzushi wao.
Hivyo ndivyo inavyotakiwa.
Msemaji wa serikali akianza kujibu kila aina ya uzushi, kufanya hivyo ni kuubariki na kuuhalalisha uzushi huo. Serikali itafanya hivyo kwa mangapi? Maana uzushi na uongo ni sehemu kubwa sana ya hii mitandao ya kueneza na kujazana ujinga.
Safi sana serikali. Safari hii mmetenda vyema.
Hahahaaa.........kaka yake tena?Hawa jamaa bwana . Kaka yake nae katuachia kujimwambafymwambafy!
Kusingiziwa kufa kwa magonjwa yenu mnalalamika wiki nzima lakini nyie kukusudia kuua kwa kupiga risasi 38 kwa mtu mnaona kawaida na mnakataza watu hata kumuombea? Mnashangaza kweliKile kiwanda chenu cha kupika majungu na upotoshaji kimebaki uchi sasa,tupu zenu nje
Na wewe peleka ujinga huku! Umeshindwa nini kumuelewa hapo?Naona unasadiki na kuunga unga tu.
Sikubaliani na Membe.
Ilichokifanya serikali nadhani ndicho kilikuwa sahihi.
Kwamba, tetesi za kijuha na kipumbavu, ni vyema kuzipuuza kwa maneno lakini pia kuzijibu kwa vitendo ndani ya muda mzuri.
Rais kujitokeza na kuendelea kufanya kazi zake, lilikuwa ni jibu murua kabisa kwa majuha wote walioshiriki kutunga na kueneza uzushi wao.
Hivyo ndivyo inavyotakiwa.
Msemaji wa serikali akianza kujibu kila aina ya uzushi, kufanya hivyo ni kuubariki na kuuhalalisha uzushi huo. Serikali itafanya hivyo kwa mangapi? Maana uzushi na uongo ni sehemu kubwa sana ya hii mitandao ya kueneza na kujazana ujinga.
Safi sana serikali. Safari hii mmetenda vyema.
Nyie ndio mnataka mbwabwaje huku na kule ila mnao wachafua wanyamaze?Sasa mkuu kama kweli au niuwongo Kwanini usikae kimya tu upate chai huko rondo au ndio maficho?
Vikaragosi vya watawala vinamuogopa sana Membe !Anaandika Bernard Membe.
Rondo- Lindi.
Watanzania Wenzangu! Nawasalimia! Kwa siku tatu mfululizo magazeti ya makuhani wa fitina na unafiki Musiba na Mchange na wenzao wamekuwa wakinishambulia kwa uchochezi wa sintofahamu iliyotokea kuanzia Alhamisi tarehe 17 Octoba siku ambayo Mhe Rais ameondoka Lindi kuelekea Dar hadi Jumapili ya tarehe 20. Mimi nipo Kijijini kwangu Rondo kwa mwezi mmoja sasa.
Ni nini hicho nilichokisema au kukiandika kwenye mitandao ya kijamii? Kwa kuwa mawasiliano yangu yote nayafanya kwa simu yangu ambayo inasikilizwa na kudukuliwa, naviomba vyombo vinavyohusika vitoe hadharani mazungumzo na maandishi yangu ili watu wasikie, wasome na wanihukumu. Napenda niuhakikishie umma kuwa Mimi sikuwa mjinga! Nilijua kuwa nikisema au kuandika vibaya, wabaya wangu wataninyooshea vidole.
Sikuingia kwenye mitego yao hiyo. Mimi kama Watanzania wote wenye akili za kawaida nilishangazwa sana na ukimya wa Serikali huku damage na rumours zikiwa zimetanda kote nchini bila kuzitolea maelezo kwa siku 3 mfululizo! Mhe. Rais ni kiongozi wa Umma. Inapotokea sintofahamu au upotoshaji wowote ule, ulikuwa ni wajibu wa Msemaji wa Ikulu au wa Serikali kukanusha na kuweka mambo sawa kama wanavyofanya siku zote.
Vinginevyo wale wenye akili za mbilikimo na makuhani wa unafiki wanachukua mwanya huo kutunga ya kwao ili kumfurahisha Mhe. Rais. Good governance requires quick response to rumours. Rumours left unattended damages governance! Narudia! Naviomba vyombo husika vitoe hadharani nilichokisema au kupost kwenye mitandao ili nihukumiwe na Wananchi wenyewe na sio na Wabwekaji wa Taifa.
Ben Membe.
Rondo- Lindi.View attachment 1241102View attachment 1241103
Akisha kubali cheo kile mahali alipo sio siri tena! Sasa mnamficha kwa nini?mkewe anajua yuko wapi?
ungekuwa nyumba ndogo yake ungejua yuko wapi.
Ndiyo maana nasubiri uhakikisho kuwa habari hii imeandikwa na mwenyewe!!!!Ama wanamzushia.Kwa hiyo membe unavyosema akili za mbilikimo unamaanisha hawana akili watu wa hivo aisee we ni mbaguzi wa hatari na mchochezi katika taifa hili lea wajukuu uongizi kwa sasa ushau