Membe: Musiba na Mchange anayewatuma kunichafua kwanini hamnipeleki mahakamani? Kama mnaweza kunirekodi mmeshindwa nini kutoa huo ushahidi

Haahaa dunia kweli duara, aliyekuwa waziri Wa mambo ya nje Leo analalamika kama sie RAIA.hili Ni somo kwa waliopo madarakani Leo wasidhani watadumu mamlakani milele.Ila membe kwa misemo hatari, eti wabwekaji Wa taifa.

Ni kweli cyprian Musiba na huyo mchange wanabweka hovyo hata Heche aliwahi kuwalalamikia kuwa walimbwekea akiwa break point anapata msosi lakini akawakabili vilivyo na kuwambia haogopi kufa wala chochote
 
Mchange wakati mwingine eti hujidai ni Afisa Usalama wa Taifa kasahau kuwa ipo siku utawala huu utamaliza mda wake utaenda na yeye yupo mtaani tu
 
Wabwekaji wa Taifa..!! Mmh ngoja niingize kwenye hansard yangu.. Kwa hiyo hata mm ninaemtetea usiku na mchana Mh. Rais wangu Magu ni mbwekaji wa Taifa.?

Cyprian Musiba ni kibwekaji tena kinabweka baada ya kuvuta Bangi
 
Wabwekaji wa Taifa..!! Mmh ngoja niingize kwenye hansard yangu.. Kwa hiyo hata mm ninaemtetea usiku na mchana Mh. Rais wangu Magu ni mbwekaji wa Taifa.?
Hivi huwa mnamtetea rais dhidi ya nani na kwa nini?Je kumtetea na kumkinga ili asikabiliane na waajiri wake mnamaanisha kwamba hatoshi kwa nafasi aliyoiomba mwenyewe,au ni ujinga wenu tu?
 
Wabwekaji wa Taifa na matumbo yao, jitu zima likishakuwa livivu la.kufanya kazi likajipatia kipato, linaishia kuwa liilmba kwaya za kuwafurahisha maditete na kujiaibisha
 
Ulikuwa wapi wr mnafiki mbona ulipotea baada ta kufufka na wewe umeibuka kama mzuka. hahhaaaa wanafiki nyie.
 
Membe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya

Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika


Pia sio vizuri kuwatumia vijana kubweka mtandaoni kuisema serkali

Tuendelee kumuunga mkono mh Rais Kwa uchapa kazi
hatuwezi kumuunga mkono Dikteta
 
Huyu nae anatishia “kunuka” akiguswa afu anaishia “kunukia” tu!
Angetuonesha ‘advataiz’ moja kwa Musiba au Mchange pale,’amnukishe’ weeee hadi ashike Adabu yake.Otherwise nae debe tupu
 
Membe nae anajishushia hadhi kukaa anajibishana na Musiba. Kwa hadhi alostaafu daaah! Make anaongeeea serikali imemnyamazia tu, hata chama kimemdharau tu! Yaani saizi yake ni Musiba dharau kubwa hii! Ha ha ha!
 
Sikuingia kwenye mitego yao hiyo. Mimi kama Watanzania wote wenye akili za kawaida nilishangazwa sana na ukimya wa Serikali huku damage na rumours zikiwa zimetanda kote nchini bila kuzitolea maelezo kwa siku 3 mfululizo! Mhe. Rais ni kiongozi wa Umma. Inapotokea sintofahamu au upotoshaji wowote ule, ulikuwa ni wajibu wa Msemaji wa Ikulu au wa Serikali kukanusha na kuweka mambo sawa kama wanavyofanya siku zote.

Vinginevyo wale wenye akili za mbilikimo na makuhani wa unafiki wanachukua mwanya huo kutunga ya kwao ili kumfurahisha Mhe. Rais. Good governance requires quick response to rumours. Rumours left unattended damages governance!

KWA PARAGRAPH HIZO HAPO JUU
MOJA KATI YA HAYA NI KWELI

1. Baada ya kuona serikali imeamua kufuata kile marehemu Mzee Samweli Sita alichosema nanukuu " dawa ya mpuuzi ni kumpuuzia" hivyo mwendelezo wa fitna yenu ikawa imegonga mwamba.

Au

2. Kwakua umewahi kujinasibisha kwa jeuri kipindi simu yako ilipodukuliwa kwamba nanukuu " sauti Ile Ni ya kwangu" na hukuchukuliwa hatua yoyote, Sasa umeamua kuudhihirishia umma wa watanzania kwamba hutishwi na wala humuogopi yeyote.

MZEE WANGU
Naomba nikusimulie kisa maarufu katika uislamu cha Bwana mmoja wa kuitwa Qaarun huyu alikua na mali ambazo farasi wapatao saba ndio waliokua wakitumika kubeba funguo kufungulia maghala ya mali. Akaleta jeuri, aliye juu yetu sote alimfilisi na kuwa ombaomba na hatimaye kufa masikini.

Inawezekana Wana CCM wenzako wakawa wanakutizama ukadhani hawatafakari uyafanyayo bali, wanakusukia mtego siku moja utanasa na ndipo habari yako itakua imeishia hapo, muda hautoshi ningekukumbusha kilichomtokea Joshua Nasar huyu akijifanya mwana intelijensia akarekodi akakusanya ushahidi kwa njia ya sauti na video badala ya kuwasilisha kwa mamlaka husika akaweka mtandaoni ushahidi ukawa umeharibika, kishapo wakamuweka kwenye kilengeo akaingia wakala kichwa na Mh. Tundu Lissu akachonga akazunguka ulaya na amerika akabwata hakujibiwa akajiona mshindi akategwa akaingia mtekoni kichwa kikaliwa na sasa hata kurudi nyumbani anaogopa.

NI HAYO TU.
 
Yaani uko dunia gani Musibaaaaaaaaa njoo huku kuna huyu tena
 
Huyu nae hajakoma tu?

Alisema nchi imegawanyika vipande na haviungwi tena akapuuzwa akaaibika.

Sasa amekuja na ngonjera nyingine?

Hii muvi JPM kaijua kuicheza, wapo walitaka kupata popularity kupitia hii muvi ila wamechemsha.

Membe kaja kivingine hadi anatia huruma.

Huyu anakurupuka kujibu kila kitu hafai hata kuongoza nyumba mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…