Membe: Nasubiri kwa hamu barua ya wito CCM. Hoja zitatolewa na hoja zitapanguliwa

Kudukuliwa ni kitu cha kawaida mkuu na kinafanyika duniani kote kwenye mawasiliano yote iwe internet, simu hata radio call.
Katiba Ibara ya 18 inazuia kuingilia mawaziliano ya watu. Tatizo ni ninyi "maiti", Katiba ya nchi ikikanyagwa mnaona sawa tu. Cha kushangaza yakifanyika mabaya mnayalinganisha na "duniani kote!!!" Mkitakiwa kufanya yaliyo mema mnadai "ni ya mabeberu, hivi mna laana gani!!!?
 
Haogopi eeh kwa iyo anapanga mbinu za uhaini kumbe ni kweli aaaah atanuka
 
 
Acha kukariri ibara ya 18 ya Katiba tu kumbuka kuwa kuna sheria zingine zinaruhusu kudukua kwa kufuata utaratibu maalumu. Ingekuwa hivyo basi waharifu wasingekamatwa duniani.
Membe ni nani level yake ni katibu kata adukuliwe Merkel yeye ni nani anajipya zaidi ya MOSHI wa LUPUNGU
 

Membe, Bernard Kamilius, has always been a presidential material. It was a huge mistake for CCM to nominate the uncouthed Ngosha!!
 
Membe anafaa sana kwenda kuwalinda akina Liziwani na jamaa zake waliotupiga...
Naamini hata wewe ulifaidika na utawaka ule wa kijinga ...
plus unapigia debe utawala wa kifamilia kwakuwa Membe ana udugu na Kikwete family.
Tumechoka na president material... tulitaka really president.. Magu anatufaa kwa sasa
Membe, Bernard Kamilius, has always been a presidential material. It was a huge mistake for CCM to nominate the uncouthed Ngosha!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa wakina Membe nje ya ccm hawana ujanja..nginja nginja za upinzani hawaziwezi
 
Aaaaaah real president awalinde akina mtoto mpendwa ili waive zaid ikulu si mahala pa genge LA wuAza masses na watekaj Kama membe tunajua membe unamilik genge LA watekaj na unalitumia mpaka kupiga wengine ionekane govt imefanya .... Ushafanya matukio mengi shukur ngosha ni mpole
 
sijui tunaumwa nini kiasi cha kuukataa ukweli
Thanks mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…