Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,800
- 4,859
Sisi wastaafu huko tunakuita kujimwambafy upo?
Hivi yule Kinana mbona kama msomali vile?
hayo mabilioni kwa kumwita kwenye hiyo kamati?POLICE na TAKUKURU kazi yao nini?Naona mnamtishia nyau kada wenu wenyewe?Anayeelewa hili igizo atoe ufafanuzi,msaada tafadhali.Membe kwisha Habari yake
Ajiandae kurudisha mabilion ya Watanzania aliyokwiba kutoka libya
Huo ni utaratibu wao jamani! Hata katiba walijitungia wenyewe! Ni mambo ya familia yao, hayatuhusu kabisa tulio nje ya familia!Haya mavyama hatari, ukimkosoa mwenyekiti tayari unaitwa kwenye vikao..
"Hoja zitatolewa na hoja zitapanguliwa"
Hapa ndipo wale wasio na hoja watakapopatwa na hasira na mshtuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo lenu wenyewe malizaneni tu siyo kila mkilikoroga muitaje Chadema. Hata mkishindwa kupachika mimba wake zenu muisingizie Chadema.Jikaangeni tu kwa mafuta yenu sisi tunawacheka kwa dharaaaau!!!!Mtumieni kwenye saccos yenu ya Chadema.
Wewe unayejua hebu tupe darsa halaHujui kitu mkuu jitahidi kwanza kujua system ya TZ inafanyaje kazi zake!