Membe: Sijaandika barua ya kujiunga CHADEMA, naheshimu upinzani kwa kuikosoa upinzani ndio maendeleo

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
Watanzania wenzangu. Mimi sijaandika barua ya kuomba kujiunga na Chadema au chama kingine chochote lakini nitaendelea kuviheshimu vyama vya upinzani kwa sababu vinafanya kazi nzuri ya kuikosoa Serikali. Kukosoa ni kitendo cha maendeleo mpinduka na kamwe siyo kitendo cha uadui!
 
Chadema ni wazushi!
 
Sifa ya kupewa fomu tu ya kuomba ridhaa ndani ya chama ni kuwa Mwanachama sifa ambayo Membe alishaipoteza.
kumbe bado hujajua kuwa oktoba membe ndo anawania urais kwa tiket ya CCM
 
Sifa ya kupewa fomu tu ya kuomba ridhaa ndani ya chama ni kuwa Mwanachama sifa ambayo Membe alishaipoteza.
Mkuu CCM inazo kurasa za akiba,ambazo yaliomo hayaonekani kwa watu wengi.Membe anaweza kuchukuwa form ya kutia nia CCM, kwa kuwa hajafukuzwa kwa vipengere vyote.
 
Back
Top Bottom