Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
kumbe bado hujajua kuwa oktoba membe ndo anawania urais kwa tiket ya CCMMembe anajua hawezi kupata hata kura milion moja mbele ya Jpm
Chadema ni wazushi!Watanzania wenzangu. Mimi sijaandika barua ya kuomba kujiunga na Chadema au chama kingine chochote lakini nitaendelea kuviheshimu vyama vya upinzani kwa sababu vinafanya kazi nzuri ya kuikosoa Serikali. Kukosoa ni kitendo cha maendeleo mpinduka na kamwe siyo kitendo cha uadui!
kumbe bado hujajua kuwa oktoba membe ndo anawania urais kwa tiket ya CCM
kumbe bado hujajua kuwa oktoba membe ndo anawania urais kwa tiket ya CCM
Hata JPM angekuwa pembeni angesema hivyo hivyo kuwa "kukosoa ni kitendo cha maendeleo"
Mkuu CCM inazo kurasa za akiba,ambazo yaliomo hayaonekani kwa watu wengi.Membe anaweza kuchukuwa form ya kutia nia CCM, kwa kuwa hajafukuzwa kwa vipengere vyote.Sifa ya kupewa fomu tu ya kuomba ridhaa ndani ya chama ni kuwa Mwanachama sifa ambayo Membe alishaipoteza.
Membe si mjinga ajiunge na upinzan wa nchi hii.Membe anajua hawezi kupata hata kura milion moja mbele ya Jpm
Mkiweka tum huru Magu hatoboiMembe anajua hawezi kupata hata kura milion moja mbele ya Jpm
Tatizo ni wapinzani au tume ya uchaguzi?Membe si mjinga ajiunge na upinzan wa nchi hii.
Bado hawajajipanga
Mkiweka tum huru Magu hatoboi
Membe si mjinga ajiunge na upinzan wa nchi hii.
Bado hawajajipanga