johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nadhani umemwelewa!Dingi apumzike tu aache maneno mengi
Walimsitukia mapema snHuyu ni kachero aliyefeli mission ya kuibomoa Chadema, karudi kwa mwajiri wake kichwa chini baada ya Kamanda Mbowe kumpa za uso
Hana mvuto tenaDingi apumzike tu aache maneno mengi
Wewe unao?Hana mvuto tena
Kwani kupumzika ni lazima urudi CCM bwashee?Membe haeleweki anataka nn.Arudi rasmi ccm apumzike
Hakika!Ni vizuri kujua saa na majira ya kila jambo.
Haahaa ndo ukweli huo, unamsikia lowasa?Kwani kupumzika ni lazima urudi CCM bwashee?
Hatimaye amerudi kwenye mstari wake.Aliyekuwa Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amejaribu kwa wakati kugombea Urais na sasa wakati hauko upande wake tena hivyo anawatia moyo vijana kugombea...
Unajua maana ya mkiti kwa kimakonde?Kikwetu membe ni 'nzi'