johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #61
Hahahaaaa.......!Hao wajumbe si wangempigania abaki? Au si wangeenda nae huko ACT?
Hizi kelele ndio zilimfanya zitto akurupuke, ila mwishoni wakaja kushtuka kuwa ni kelele za nyie wajinga wachache huku mitandaoni
Kuna siku Lissu alikuwa anahojiwa baada ya kuondoka, ameshawaelewa nyie wafuasi wake wa huku mitandaoni.Nani alikwambia TAL si mzuri? TAL ni zaidi ya viongozi majani 10,000. Maana kama aliyepora ni mzuri kwa ufalme basi kila mtu Tz anaweza kuwa mfalme
Aliwahi kusema ameoteshwa.
Ole wao maadui wake aliingia ikulu.
Sasa amejitambua hakuwahi kuwa na sifa ya urais
HahahahahaWewe unao?
Mbona hajamshinda akiwa ACT?Nimeshapata. Mlitumia ubabe ili mkijua kwamba akichuka form tu angemsbinda jpm
Mtu mwenye akili timamu hawezi tamani kwenda ikulu.Ikulu ni mzigo, ikulu ni mateso,ikulu ni lawama, ikulu ni ufungwa.Si lzm uende ikulu Ili ukamilikeTutakapoacha kuona Ikulu ni kama sehemu nzuri ya kupiga soga, tutaanza kuwa na wagombea Urais wazuri na Bora kuliko kina Lissu, kina Membe na wengineo
hapa ndipo kwenye tatizo la chadema wa mitandaoni......si ajabu mambo km haya ndo yamechangia kwa kiasi kikubwa kukiua chama!Huyu ni kachero aliyefeli mission ya kuibomoa Chadema, karudi kwa mwajiri wake kichwa chini baada ya Kamanda Mbowe kumpa za uso
Kama babu akoKama Lissu tu
Ndiyo maana unanifuatiliaWewe unao?
Alisema NDOTO HAIFIIle sauti iliokuwa inamwambia yeye ni Rais anaikataa?
Ambao ni akina nani hao, Pombe?Tutakapoacha kuona Ikulu ni kama sehemu nzuri ya kupiga soga, tutaanza kuwa na wagombea Urais wazuri na Bora kuliko kina Lissu, kina Membe na wengineo