Uchaguzi 2020 Membe unagombea Ubunge au Urais wa Jamhuri?

Uchaguzi 2020 Membe unagombea Ubunge au Urais wa Jamhuri?

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Huyu mzee wa kazi na bata ambaye alijitokeza kuchukua fomu kugombea Urais wa Tanzania ameonyesha dalili zote za kutokuwa na maandilizi na mikakati ya kutosha.

Tangu amezindua kampeni zake amekuwa anafanya mikutano yake ya kampeni mikoa ya Lindi na Mtwara na hakuna ratiba inayoonyesha atakuwa na mikutano nje ya mikoa hiyo.

Je, bwana Membe pumzi zimeshakata au anadhani yupo kwenye kampeni ya ubunge wa jimbo?

Wapinzani mnapaswa kujipanga kimkakati na kiuwezo. Au kuingia kwenye uchaguzi mkuu kuliendana na fungu la pesa kutoka nje?

Membe, nakukaribisha CCM hata kama ukitaka kurudi leo tutakupokea. Umechoka unahitaji kustaafu na kulea wajukuu huku ukishauri madiwani wa CCM kwenye wilaya yako nini maana ya uzalendo.
 
CCM tulieni hamna mnalolijua, mlitegemea kuwaengua na kutumai watu watagombana, mbona Chadema na ACt ni waarabu wapemba wanajuana kwa vilemba, nyie CCM subirini kupita bila kupingwa, ACT na Chadema wamesshawaacha kwenye wasanii mnahangaika nao.
 
Wale "marafiki zake" na walio binywa na awamu ya 5 "wamepotelea wapi , kumpa support
 
Siku hazigandi nakwambia leo mropokaji wenu hawezi kukaribia hata kura za Membe kwenye Uchaguzi huu
[emoji16][emoji16][emoji16],bora Mungu akupe akili akunyime utajiri!
Aisee akili zako zina matege!
 
CCM tulieni hamna mnalolijua ,mlitegemea kuwaengua na kutumai watu watagombana,mbona Chadema na ACt ni waarabu wapemba wanajuana kwa vilemba,nyie CCM subirini kupita bila kupingwa, ACT na Chadema wamesshawaacha kwenye wasanii mnahangaika nao.
Wasanii wanawaIvurugia CCM bila wao kujua maana watu wengi wanaenda kuangalia burudani za wasanii buree!
 
CCM tulieni hamna mnalolijua ,mlitegemea kuwaengua na kutumai watu watagombana,mbona Chadema na ACt ni waarabu wapemba wanajuana kwa vilemba,nyie CCM subirini kupita bila kupingwa, ACT na Chadema wamesshawaacha kwenye wasanii mnahangaika nao.
Yaani ccm wanafanya matamasha ya wasanii au fiesta badala ya kampeini kushindikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom