Uchaguzi 2020 Membe unagombea Ubunge au Urais wa Jamhuri?

Uchaguzi 2020 Membe unagombea Ubunge au Urais wa Jamhuri?

Mlikuwa mnamsapoti juzi kati hapa[emoji3][emoji3], hapana chezea mashabiki wa mitandaoni
 
Huyu mzee wa kazi na bata ambaye alijitokeza kuchukua fomu kugombea urais wa Tanzania ameonyesha dalili zote za kutokuwa na maandilizi na mikakati ya kutosha.

Tangu amezindua kampeni zake amekuwa anafanya mikutano yake ya kampeni mikoa ya Lindi na Mtwara na hakuna ratiba inayoonyesha atakuwa na mikutano nje ya mikoa hiyo.

Je, bwana Membe pumzi zimeshakata au anadhani yupo kwenye kampeni ya ubunge wa jimbo?

Wapinzani mnapaswa kujipanga kimkakati na kiuwezo. Au kuingia kwenye uchaguzi mkuu kuliendana na fungu la pesa kutoka nje?

Membe, nakukaribisha CCM hata kama ukitaka kurudi leo tutakupokea. Umechoka unahitaji kustaafu na kulea wajukuu huku ukishauri madiwani wa CCM kwenye wilaya yako nini maana ya uzalendo.
ZZK anataka kura na ikiwezekana halmashauri ili apate ruzuku. Kapiga hesabu kwa Bara kaamua kuwekeza Kigoma mjini na Lindi/Mtwara akitegemea ukanda/ukabila na Uislamu kuibeba ACT.
 
ZZK anataka kura na ikiwezekana halmashauri ili apate ruzuku. Kapiga hesabu kwa Bara kaamua kuwekeza Kigoma mjini na Lindi/Mtwara akitegemea ukanda/ukabila na Uislamu kuibeba ACT.
Tatizo la ZZK ni kujiaminisha kwamba yeye ana akili na uwezo kuliko wote.

Hajui kwamba Watanzania wanajua ni msaliti
 
Tume walichota kura milioni 3 za Lowassa wakamuwekea magufuli..... Ndio maana laana inazidi kuwaandama na wanakataliwa kila mahal
Nimeuliza, kwa willingly.

Sio kufanyia bila ridhaa yako.
 
Back
Top Bottom