Magufuli jana kazomewa alafu anatishia MKINIZOMEA BASI NITAONDOKA! ana mtisha nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu ndiye Rais wako ajaye, hutaki hama nchi urudi kwenu BurundiSiku hazigandi nakwambia leo mropokaji wenu hawezi kukaribia hata kura za membe kwenye Uchaguzi huu
Tangu lini mhamiaji haramu akawa na akili?Unataka ulinganishe akili zangu na zako zinazoamini ropokaji?
Magufuli kafurushwa MusomaNajua ukweli unauma uwe tayari kupokea matokeo
Kwakuwa masikio yako hayataki kusikia habari hizo sawa, lkn Magufuli kazomewaHakuna wa kumzomea Magufuli, nyie wahuni tutahakikisha hamna pakushika safari hii
Kwakuwa masikio yako hayataki kusikia habari hizo sawa, lkn Magufuli kazomewa
Sent using Jamii Forums mobile app
"Mtajuta msiponichagua" hii sio ya kisayansi?Membe atawashangaza ile ndiyo kampeni ya kisayansi. Membe atapata kura nyingi kuliko Lissu
Labda Rais wako na familia akoLissu ndiye Rais wako ajaye, hutaki hama nchi urudi kwenu Burundi
Sent using Jamii Forums mobile app
ZZK anataka kura na ikiwezekana halmashauri ili apate ruzuku. Kapiga hesabu kwa Bara kaamua kuwekeza Kigoma mjini na Lindi/Mtwara akitegemea ukanda/ukabila na Uislamu kuibeba ACT.Huyu mzee wa kazi na bata ambaye alijitokeza kuchukua fomu kugombea urais wa Tanzania ameonyesha dalili zote za kutokuwa na maandilizi na mikakati ya kutosha.
Tangu amezindua kampeni zake amekuwa anafanya mikutano yake ya kampeni mikoa ya Lindi na Mtwara na hakuna ratiba inayoonyesha atakuwa na mikutano nje ya mikoa hiyo.
Je, bwana Membe pumzi zimeshakata au anadhani yupo kwenye kampeni ya ubunge wa jimbo?
Wapinzani mnapaswa kujipanga kimkakati na kiuwezo. Au kuingia kwenye uchaguzi mkuu kuliendana na fungu la pesa kutoka nje?
Membe, nakukaribisha CCM hata kama ukitaka kurudi leo tutakupokea. Umechoka unahitaji kustaafu na kulea wajukuu huku ukishauri madiwani wa CCM kwenye wilaya yako nini maana ya uzalendo.
Hivi inaruhusiwa kupeana kura.?Kama hujasoma mchezo wanaocheza CHADEMA na ACT basi imekula kwako!
Rais wa JMT, ila kwa sababu wewe siyo mzawa basi rudi kwenu BurundiLabda Rais wako na familia ako
Yule ni mbobezi ana kuambia katika vipindi vyote hichi ndio kipindi kirahisi zaidi kumondoa nyoka pangoni Bwana yule
Tume walichota kura milioni 3 za Lowassa wakamuwekea Magufuli..... Ndio maana laana inazidi kuwaandama na wanakataliwa kila mahaliHivi inaruhusiwa kupeana kura.?
Ulizopigiwa ukampea mwingine.
Tatizo la ZZK ni kujiaminisha kwamba yeye ana akili na uwezo kuliko wote.ZZK anataka kura na ikiwezekana halmashauri ili apate ruzuku. Kapiga hesabu kwa Bara kaamua kuwekeza Kigoma mjini na Lindi/Mtwara akitegemea ukanda/ukabila na Uislamu kuibeba ACT.
Nimeuliza, kwa willingly.Tume walichota kura milioni 3 za Lowassa wakamuwekea magufuli..... Ndio maana laana inazidi kuwaandama na wanakataliwa kila mahal