Uchaguzi 2020 Membe wa ACT-Wazalendo ni liability

Uchaguzi 2020 Membe wa ACT-Wazalendo ni liability

Criterion

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2008
Posts
11,797
Reaction score
11,891
Unataka kuwa Rais ili tu ujenge Barabra ya Lindi? Mtu akitaka kuleta mabadiliko kwao lazima awe rais?

Wakati ukiwa kwenye serikali ya brother, mlifanya nini cha maendeleo zaidi ya kuharibu Uchumi na kuuza maliasili zetu kwa kikombe cha kahawa?

Tabby,

Ukiangalia tu....

  • Sura yake ambayo haijakaa Kiutawala (Kiuongozi)
  • Tembea yake tu ambayo imekaa 'Kilegelege' na 'Kidhaifu' mno
  • Afya yake ya sasa Kimuonekano
  • Ujengaji wake wa Hoja na Upangiliaji wa Kimtiririko
  • Zungumza yake isiyo na Mvuto Kumsikiliza
  • Mwonekano wake wa Mwili mzima jinsi ulivyo na Mashaka
  • Chama alichopo ambacho kina Mchanganyiko wa Watu wenye Chuki na Wanafiki wa Kisiasa
Utakubaliana nami GENTAMYCINE kuwa hakuna Mtanzania 'Mwendawazimu' ambaye atapoteza muda wake ili Kumpigia Yeye 'Kura' awe Rais wetu.
 
Utakubaliana nami GENTAMYCINE kuwa hakuna Mtanzania 'Mwendawazimu' ambaye atapoteza muda wake ili Kumpigia Yeye 'Kura' awe Rais wetu.

Gentamycine.

Umeandika points nzuri sana huko juu, lakini hili hitimisho lako lipo hovyo, yaani halieleweki.

"----hakuna mtanzania "mwendawazimu" ambaye atapoteza muda wake----"

Kwa hilo hitimisho lako; Maana yake ni kwamba watz wasio wendawazimu ndio watapoteza muda nk, kwenda kumpigia kura Membe.
 
GENTAMYCINE Unaitwa hapa kwa ufafanuzi kidogo!.
 
Back
Top Bottom