Member gani humu unaweza kukadiria umri wa miaka yao?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Kuna watu humu either kutokana na id yake au post na comment zake unaweza kuwavutia taswira kuwa ni watu wa rika/umri flani na muonekano flani hiv.

Je, ni nani unaweza kukadiria umri/muonekano wake humu jukwaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…