Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Kuna watu humu either kutokana na id yake au post na comment zake unaweza kuwavutia taswira kuwa ni watu wa rika/umri flani na muonekano flani hiv.
Je, ni nani unaweza kukadiria umri/muonekano wake humu jukwaani
Je, ni nani unaweza kukadiria umri/muonekano wake humu jukwaani