Nawe unawapanga mweeee ,namshukuru Mola ahhaSema tupangane sheeeenzi. 2018 ni kupangana tu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ana undugu na shehe wa da Mange nini?
Kuwahi nako ni changamoto. Subiri niende kwa SkyKitambo mkuu. Yuko saluni kwa maandalizi (pampering) ya V-Day.Siku hiyo nitamkuta akiwa laiiiniiiiii kama hariri. Huku macho yake yakiniita kwa upole na unyenyekevu wa hali ya juu. Nikiwa tayari na matunda ya strawberry na chocolate syrup kwa kazi maalum baada ya dinner and dance night out.
Tafuta wako mkuu...niachie huyu mwali wangu emmyta
shukran dearMkuu, wewe chagua wako. Mambo mengine tuachie wachaguaji. Machaguo yangu manne ni Miss Natafuta, NAHUJA, ukhuty na niah
Thats my girl!You don't have to love in words; even through the silences love is always heard. I Love You Honey! The way you look into my eyes It scares me The way you say "I love you"
Yaani hapa kama nipo kwenye sherehe, buffet ndefu kama treni sijui nichukue kipi niache kipi,sahani yenyewe ndogo!Anatapatapa hajui atoke na naniii
Mwanamme unatakiwa uwe hivyo ujiamini ila usiwe kiben10 [emoji30][emoji30][emoji30]Asante kwakua muungwana...
Sawa mumy..
Mtu mbili tu hapo wakizidi labda malaika au wanga
Hakika umenipa nguvu najiona mimi tu [emoji2]
Muoga kwanza huyo asikutishe mwaya.Umembiwa mi muoga kwani?usijekimbia wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na sitaki kabisa kukuelewaYaani wewe mtoto sijui nikufanyie nini unielewe....
My love nilikua nawatania tu hao.Sijui umempa nini huyu sexy lady...leo kaniumiza sana eti baada ya kukukosa wewe kaenda kwa ivuga,huko nako kagonga mwamba ndio ananitafuta mimi!
Mchukue wakunyumba tena mtawezanaNipe mimi.
Niko single niach3 nimingle.Nawe unawapanga mweeee ,namshukuru Mola ahha
roho inaniuma sana...najua unanipenda ila kuna watu wamekulisha sumu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na sitaki kabisa kukuelewa
Sawa atakimbia mwenyeweMuoga kwanza huyo asikutishe mwaya.
Rrondo nimecheka kwa sauti [emoji23][emoji23][emoji23]roho inaniuma sana...najua unanipenda ila kuna watu wamekulisha sumu....
Mie mbaya atanikimbia huyu japo namtaka ila naogopa kuzimiwa simu. [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mchukue wakunyumba tena mtawezana