Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Kwa nini tena jamaanHahah!! Poa mkuu ila huyu Shunie atafanya nikosane na wadau humu ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini tena jamaanHahah!! Poa mkuu ila huyu Shunie atafanya nikosane na wadau humu ndani
Sawa, weka hapa bajeti yako tuoneNataka pesa. Pesa ndo mtama wa warembo. Bila pesa nitaendaje saloon na kununua red dress na kiatu?
UsijalItakua good sana....[emoji8] [emoji8]
Rrondo anahangaika mbonaSi unao wa5 jaman acha niwe na mleta mada kanichagua mm tu
Kwahiyo tutakuwa wawili eenh[emoji8] [emoji8]
Usiogope we mwanaume pambana mpaka dk ya mwishoHuyo mdau kanitishia uhai wangu kua mwisho ni 2018 kisa nimekutaja wewe
Me simuwezi anao wengi sanaRrondo anahangaika mbona
Anatapatapa hajui atoke na naniiiMe simuwezi anao wengi sana
Huyo mtoto nammezeaga sana mate .Farida unaweza vua umoderator ukaja mara moja huku!?..
Utamkimbia wewe bora ubaki na mie
Ana undugu na shehe wa da Mange nini?Huyo mdau kanitishia uhai wangu kua mwisho ni 2018 kisa nimekutaja wewe
Wewe ni special.Si unao wa5 jaman acha niwe na mleta mada kanichagua mm tu
Ungeleta mkuu. Mbona watoto tuko wengi unalazimishaje waruke stage kujadili yasiopoHaina maana Ku assume,!!
Tuwe tuna leta topic za kujenga sio haya mawazo ya kitoto!