Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Mashavu yapi tena?Aisee wadada mnaficha ficha sana kuwapa mashavu wadau
Ya juu au chini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashavu yapi tena?Aisee wadada mnaficha ficha sana kuwapa mashavu wadau
Wachaga mna nini na mie leo jomoniDinazarde
Sio vizuri wenzio bado we unataka uwamiliki wote niachie na mimi huyo sasa kama kweli unanipendaWeee nae sijui umetokea wapi,
Ushakula ugoro eeh?
MmmhSiku ukinitamani tu nitaacha kazi zote hadi upate haki yako
Asante mkuu tutatafutana tujue inakuwaje siku hiyo [emoji8]Kama tujuavyo huu msimu unasemekana ni wawapenda-nao sasa ni member gani humu JF ungependa awe partner wako siku hiyo?
Mimi namuwahi Shunie bado mapemaa
Niache ebuSio vizuri wenzio bado we unataka uwamiliki wote niachie na mimi huyo sasa kama kweli unanipenda
Mkuu kashasema yeye hapendi mtu mwenye pesa....Una hela?
Naomba unitamaniMmmh
Wasonjo uhamie mara ngapi shoo?Wasukuma wapo damuni ,wakinishinda nahamia kwa wasonjo
Basi basi jamani.Hahahaaaaa....tena ndo niwe nimepulizia unyunyu wa Clive Christian...
Daaahhh.....kumbe kashatajwa.....nani ambaye hajatajwa?
Yote[emoji23]Mashavu yapi tena?
Ya juu au chini?
[emoji8][emoji8][emoji8]