[emoji35] [emoji35]Mpeleke kabisa bongoyo.
Dakika sifuri kutoka pale slipway.
Beach kali sana . Nilienda na mtoto siku hio tukajikuta tupo wawili beach lote na wazungu wana biziness zao.
Niligegeda mchangani hadi mtotto akataka kukimbilia baharini bila cchup
Haiwezekani Saint Ivuga ukammendea na Farida pia.Huyo mtoto nammezeaga sana mate .
Naona umeamua kutumia nguvu sasa ...hii inaitwa “self-empowering” 😛Nasubir kutajwa
Napita Kwa kukodoa macho kodoooo
We jamaa unatakiwa kuchunguzwa,mpk sasa humu unao wanne huu ni ubadhirifu wa rasilimali watuManeno matupu tu haya...si unajua debe likiwa tupu lina kelele sana...
Nini tena sweetie.....?
Mkuu uking'ang'ania mmoja utalala njaa...wenyewe nao wanatega huku na huku....🙂We jamaa unatakiwa kuchunguzwa,mpk sasa humu unao wanne huu ni ubadhirifu wa rasilimali watu
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We si una chura msaidie basi.Behaviourist amenifanya kila nikiona chura namfikiria yeye
Mi flat screenWe si una chura msaidie basi.
We andunje uzi umefika page ya 99 hujatajwa hata.[emoji35] [emoji35]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]We jamaa unatakiwa kuchunguzwa,mpk sasa humu unao wanne huu ni ubadhirifu wa rasilimali watu
Hakuna kitu jamanNini tena sweetie.....?
Naumiaje Best, yaani dahUsiumie mpenzi.
Eti ee🙄Mimi.
Natania
Hakuna kitu jaman
Wewe mambo yako kama shehe wetu yulee wa da Mange. Au sio?Hivi humu JF ni Manzi gani ana chura?