Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
HahahahahhaNaona umeamua kutumia nguvu sasa ...hii inaitwa “self-empowering” [emoji14]
Tatizo upo mbali na wewe ningekutaja 😉
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahhaNaona umeamua kutumia nguvu sasa ...hii inaitwa “self-empowering” [emoji14]
Tatizo upo mbali na wewe ningekutaja 😉
Sema mi kauzuuu. Ningeongea nae na vicheko juu. Nikitoka hapo hanioni mazima. Na simu namblock.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au unafunika simu
Huyo ni noma anafanya kama masiala hivi ila ndo vileeeeMkuu usha pita kote huko duh
Ugonjwa wangu huo....be my valentine pleaseMi flat screen
Yeye mwenyewe Namuona anatupanga tu Sema mm ndo first choiceMmmh,baki huko nicje katwa kichwa
Aaah na mimi tena RRONDO siku hiyo tutakuwa wangapi sasaUgonjwa wangu huo....be my valentine please
Pole uwezi kosa kabisa usijali eeHahahahahha
Im glad you know your position....my main chickYeye mwenyewe Namuona anatupanga tu Sema mm ndo first choice
Kila mmoja na wakati wake...Aaah na mimi tena RRONDO siku hiyo tutakuwa wangapi sasa
Mimi sio kembemba kama nandy sasa
Nitaanzaje kukosa kwa mfanoPole uwezi kosa kabisa usijali ee
Enzi hizo tunapenda/tunapendwa bila pesa....
Masaa mangapi mangapiKila mmoja na wakati wake...
Wewe wa mkoani subiri hukohukoNasubir kutajwa
Napita Kwa kukodoa macho kodoooo
Sina wivuu hata ukiniacha nyumban wewe nenda ukirud wa kwanguuuIm glad you know your position....my main chick
Usitegemee kimojaMkuu uking'ang'ania mmoja utalala njaa...wenyewe nao wanatega huku na huku....🙂
Katu asilani....Nitaanzaje kukosa kwa mfano
Acha choyooMi flat screen