Member gani JF ungependa kuwa nae siku ya Valentine day?

Sky eclat kama hatapokea basi ntae. da kumchukua Nifah kama nifaha hatapenda kupanda vogue langu ntmpigia simu Shunie ambaye alini block ntamfata kumchukua
 
Kutokana na kipaji changu cha kutabiri, nayaona yafuatayo kwako:
1. Umeshika simu yako ya mkononi.
2. Unasoma hii habari.
3. Wewe ni binadamu hai kabisa.
4. Huna jeuri ya kusema neno PIPI bila kufungua mdomo.
5. Ha ha ha nakuona umejaribu kusema neno PIPI.
7. Unajicheka mwenyewe.
8. Nimeona meno yako.
9. Unatabasamu!
10. Umeruka namba 6.
11. Ha ha ha ha unacheki kama kuna namba 6.
12. Umetabasamu!
....Nilipe gharama ya utabiri
 
Unafaa sana kwa ajili ya Valentine. Unauwezo wa kuchangamsha na kufanya siku ipite murua[emoji23] [emoji23]
 
Tumempata shekh Yahaya mwingine sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…