Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Huyu umenikuta nae mwenza.Muonee[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Yan mzigua kila bby wangu ananinyang'anya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu umenikuta nae mwenza.Muonee[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Yan mzigua kila bby wangu ananinyang'anya
Kumbee[emoji17] [emoji17] [emoji17]Huyu umenikuta nae mwenza.
Asante,we umeshampata?Pole sana
Sawa mkuuNilijiita balance
Nakuonashukran dear
huyu ndie nitakae toka nae siku hiyo Rogie[emoji8] [emoji8]Nakuona
Unafaa sana kwa ajili ya Valentine. Unauwezo wa kuchangamsha na kufanya siku ipite murua[emoji23] [emoji23]Kutokana na kipaji changu cha kutabiri, nayaona yafuatayo kwako:
1. Umeshika simu yako ya mkononi.
2. Unasoma hii habari.
3. Wewe ni binadamu hai kabisa.
4. Huna jeuri ya kusema neno PIPI bila kufungua mdomo.
5. Ha ha ha nakuona umejaribu kusema neno PIPI.
7. Unajicheka mwenyewe.
8. Nimeona meno yako.
9. Unatabasamu!
10. Umeruka namba 6.
11. Ha ha ha ha unacheki kama kuna namba 6.
12. Umetabasamu!
....Nilipe gharama ya utabiri
huyu ndie nitakae toka nae siku hiyo Rogie[emoji8] [emoji8]
tutakesha loveTutalala au tutakesha bby?
Tumempata shekh Yahaya mwingine sasaKutokana na kipaji changu cha kutabiri, nayaona yafuatayo kwako:
1. Umeshika simu yako ya mkononi.
2. Unasoma hii habari.
3. Wewe ni binadamu hai kabisa.
4. Huna jeuri ya kusema neno PIPI bila kufungua mdomo.
5. Ha ha ha nakuona umejaribu kusema neno PIPI.
7. Unajicheka mwenyewe.
8. Nimeona meno yako.
9. Unatabasamu!
10. Umeruka namba 6.
11. Ha ha ha ha unacheki kama kuna namba 6.
12. Umetabasamu!
....Nilipe gharama ya utabiri
tutakesha love
HahhhaahahahaTumempata shekh Yahaya mwingine sasa