Member gani JF ungependa kuwa nae siku ya Valentine day?

Hahaaaa. Mie nakusalimia rafiki. Niaje?
Hahah rafiki umekua bidhaa inayohitajika sana mana naona wadau wanaonesha nia za dhati kabisa...[emoji1] [emoji1]

Mimi siko poa rafiki
 
Hahah rafiki umekua bidhaa inayohitajika sana mana naona wadau wanaonesha nia za dhati kabisa...[emoji1] [emoji1]

Mimi siko poa rafiki
Hahaaa. Bidhaa inayohitajika wapi tena rafiki?

Kulikoni tena hauko poa?
 
Hahaaa. Bidhaa inayohitajika wapi tena rafiki?

Kulikoni tena hauko poa?

Sinimeona huko watu wanakula karanga na vipande vya nazi

Afya imecheza kidogo mafua yanasumbua sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
usinibanie halafu nilikuwa nakukubaligi tangu zamani tu nikawa naogopa kukuambia..ila ulivyonitaja i was like.. "oooh am blessed".. Please fungua basi PM yako tuyajenge... usinibanie
 
usinibanie halafu nilikuwa nakukubaligi tangu zamani tu nikawa naogopa kukuambia..ila ulivyonitaja i was like.. "oooh am blessed".. Please fungua basi PM yako tuyajenge... usinibanie
Hahah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…