Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaaa. Mie nakusalimia rafiki. Niaje?Heeh! jaman hadi emmyta yupo kwenye hii list
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa. Mie nakusalimia rafiki. Niaje?Heeh! jaman hadi emmyta yupo kwenye hii list
Hahaaa. Bidhaa inayohitajika wapi tena rafiki?Hahah rafiki umekua bidhaa inayohitajika sana mana naona wadau wanaonesha nia za dhati kabisa...[emoji1] [emoji1]
Mimi siko poa rafiki
Hahahaaaa. Duuh.Sinimeona huko watu wanakula karanga na vipande vya nazi
Afya imecheza kidogo mafua yanasumbua sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatimaye nimetajwa[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]... Babe fungua PM yako basi [emoji15] [emoji15] [emoji15]
usinibanie halafu nilikuwa nakukubaligi tangu zamani tu nikawa naogopa kukuambia..ila ulivyonitaja i was like.. "oooh am blessed".. Please fungua basi PM yako tuyajenge... usinibanie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa we kivuruge ulifichwa wapi mwezi mzima?Niko hapa.
nipo sana mbona!!Sasa we kivuruge ulifichwa wapi mwezi mzima?
Chit chat