Member gani JF ungependa kuwa nae siku ya Valentine day?

Hahah Poa naona leo kuna sherehe ya ubingwa
Hahah!!

Ubingwa umenukia nahisi mchezo ujao ndio tutakua tunatangaza ubingwa..

Muda mrefu sijauona ushindi ndugu yangu afadhari jana wamepoza hali ya hewa
 
Haya mrudi home kwenu bana pamepooza mpaka huruma wakati mabingwa kabisa

Hongera kwenu,tafuta na kayeke arudi home sweet home

Hahah!! Itabidi leo nirudi kabisa maana nilishapasahau jamani...

Alafu huyo kayeke nimemtafuta sana bila mafanikio mule ndani aliniacha mimi tu, sasa sijui alishafariki kwa zile presha..

Hahah
 
Hahahaha aisee tengua kauli bana bado yupo hai ila ndo hivyo tena kakosa raha kwa muda kuikosa UCL

Aya mkuu nimetengua kauli...

Awe mvumilivu tu sasa mana tulishaambiwa UCL inawenyewe tukawa wabishi mwisho wa siku Liver anatutupa nje tena kwakipigo nje na ndani
 
Ila hawa liver wana kelele,maombi yangu kwa roma watumalizie hizi kelele kila kona. This is liver this is liver wakati epl wanatandikwa tu deile na hata kuunusa ubingwa hawana hizo ndoto chefuuuuu

[emoji23][emoji23][emoji23] Chefu

Kitimu chao kilishakuaga kidogo kama Norwich tu wakawa wanajitbia historia yao lakini toka watoboe UCL na kufika walipofika imekua tabu kwakweli....

Wakibahatisha kuchukua ubingwa mbona tutahamia Pluto [emoji2]
 
Yaan ni sheeder hawa watu kha wao walikua mabingwa wa kumtukana kocha na baadhi ya wachezaji ila saiv wamevimba vichwa na kujiona wao ndo wao dunia nzima.

Tuungane tuwaombee mabaya,watatunyanyasa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwakweli kwenye maombi yangu mabaya itabidi nimuongeze kwenye list yaani baada ya wewe atafata yeye...

[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Bora umekimbia ningekukamataaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakweli kwenye maombi yangu mabaya itabidi nimuongeze kwenye list yaani baada ya wewe atafata yeye...

[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mm simind haya masuala ya mamanz wa huku ila nimemiss nyuz za MziziMkavu nyngne zlikuwa zakuelimisha kuna huyu member alkuwa na vituko ukisoma komet zake unacheka @karanja007 nawaambia big respect kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…