Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Si shunie
Hahah! ... nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah! ... nani?
Hahah aisee...
alafu sijui ata ilikuaje ila ndio hivyo mwaya
Chit chat
Hahah!!
Ubingwa umenukia nahisi mchezo ujao ndio tutakua tunatangaza ubingwa..
Muda mrefu sijauona ushindi ndugu yangu afadhari jana wamepoza hali ya hewa
Hahah!! Itabidi leo nirudi kabisa maana nilishapasahau jamani...Haya mrudi home kwenu bana pamepooza mpaka huruma wakati mabingwa kabisa
Hongera kwenu,tafuta na kayeke arudi home sweet home
Hahah!! Itabidi leo nirudi kabisa maana nilishapasahau jamani...
Alafu huyo kayeke nimemtafuta sana bila mafanikio mule ndani aliniacha mimi tu, sasa sijui alishafariki kwa zile presha..
Hahah
Aya mkuu nimetengua kauli...Hahahaha aisee tengua kauli bana bado yupo hai ila ndo hivyo tena kakosa raha kwa muda kuikosa UCL
Aya mkuu nimetengua kauli...
Awe mvumilivu tu sasa mana tulishaambiwa UCL inawenyewe tukawa wabishi mwisho wa siku Liver anatutupa nje tena kwakipigo nje na ndani
[emoji23][emoji23][emoji23] ChefuIla hawa liver wana kelele,maombi yangu kwa roma watumalizie hizi kelele kila kona. This is liver this is liver wakati epl wanatandikwa tu deile na hata kuunusa ubingwa hawana hizo ndoto chefuuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23] Chefu
Kitimu chao kilishakuaga kidogo kama Norwich tu wakawa wanajitbia historia yao lakini toka watoboe UCL na kufika walipofika imekua tabu kwakweli....
Wakibahatisha kuchukua ubingwa mbona tutahamia Pluto [emoji2]
Kwakweli kwenye maombi yangu mabaya itabidi nimuongeze kwenye list yaani baada ya wewe atafata yeye...Yaan ni sheeder hawa watu kha wao walikua mabingwa wa kumtukana kocha na baadhi ya wachezaji ila saiv wamevimba vichwa na kujiona wao ndo wao dunia nzima.
Tuungane tuwaombee mabaya,watatunyanyasa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakweli kwenye maombi yangu mabaya itabidi nimuongeze kwenye list yaani baada ya wewe atafata yeye...
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Soni tu patatufaa bby.
Oyaaa, Juzi umetakiwa heri ya kuzaliwa.Kama tujuavyo huu msimu unasemekana ni wawapenda-nao sasa ni member gani humu JF ungependa awe partner wako siku hiyo?
Mimi namuwahi Shunie bado mapemaa
Miss u my loveOyaaa, Juzi umetakiwa heri ya kuzaliwa.
Uko wapi
Miss your great body [emoji8]Miss u my love