Hana wa kumfananisha nae humu. Angetakiwa atulie kama beb wetu NMalaya kama nani?
Halafu tufike huko umkute Nyani Ngabu ananukia kuliko mimi unikimbie?! Wacha nipambane na hali yangu.Usiumie mpenzi. Tutoke wote please
AhhahahaahahhHana wa kumfananisha nae humu. Angetakiwa atulie kama beb wetu N
Ahahaha unarefer uzi wangu eeeHalafu tufike huko umkute Nyani Ngabu ananukia kuliko mimi unikimbie?! Wacha nipambane na hali yangu.
Umesema kunukia umenisisimua. Usiogope Nyani Ngabu hayuko tutakua mimi na wewe tu. Tukila upepo wa bahari. Double Tree patafaa zaidi.Halafu tufike huko umkute Nyani Ngabu ananukia kuliko mimi unikimbie?! Wacha nipambane na hali yangu.
Uzi wako upi mama?Ahahaha unarefer uzi wangu eee
Double Tree napaona kwa kishamba, Slipway patafaa...diner for two!Umesema kunukia umenisisimua. Usiogope Nyani Ngabu hayuko tutakua mimi na wewe tu. Tukila upepo wa bahari. Double Tree patafaa zaidi.
Ooh yeah. Slipway patafaa zaidi.Double Tree napaona kwa kishamba, Slipway patafaa...diner for two!
Nipo pm nimejaaa teleeeNakukuta wapi sasa au upo PM?
Na kweli mi na wachaga mbali mbaliHapendi wachanga.
Kwanza mtani mke wako umemuacha rombo afu unakuja kufanya ufuska huku dsm?
Utashindwa kwenda home mwezi wa 12 shauri yako
Vizinga Vya JF[emoji23]Tatizo lako umalayaaaa. Basi twende tu Cape town. Ama nipeleke Brunch Serena jumapili hii.