Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Kama hivyo sawa.mkuu sina maana hyu usiniharibie kwa Saint Ivuga tayari tunamialia nae, wengine nawataja kwa kuwasanifu tu hawana lolote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hivyo sawa.mkuu sina maana hyu usiniharibie kwa Saint Ivuga tayari tunamialia nae, wengine nawataja kwa kuwasanifu tu hawana lolote
Mguu wa kuvalia kimini sina sasa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Guna tu
nilikuja mbioo.., wacha nishike breki kwanza....Ningependa nitoke na Nyani Ngabu sema yuko mbali, Saint Ivuga kaniambia hataki kutoka na mimi sababu nikipendeza wataniiba mafisi.
RRONDO Naomba Tutoke wote.
Hahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe tena??Evelyn salt[emoji9]
Mimi ndo nimekuomba bby tutoke wote.Umenivunjia heshima sana. Yaani mimi ndio last option baada ya hao wawili kukutosa?!!! Umechelewa kuna wenzio watano wanataka niwe Valentine wao kichwa kinaniuma napanga ratiba kwasababu sitaki hata mmoja aumie.
DaaaaahhhhhhhhhMama Sabrina ,
Japokuwa sjajua mkakati wake na Dr. ulimwengu unaendaje ila nna sura mbaya sana nahisi itakua kikwazo[emoji134]
Hapana labda
Haha, Si Nmechagua. Wewe mwakani[emoji23]Wewe tena??
Sipapendi.Twende Karambezi bwana.
Nipo kabisaMama sabrina [emoji30]
Huyo umemuwahi wangu chagua mwingine mkuu kabla hatujatafutana mtaani kishari.Kama tujuavyo huu msimu unasemekana ni wawapenda-nao sasa ni member gani humu JF ungependa awe partner wako siku hiyo?
Mimi namuwahi Shunie bado mapemaa
Hahahahahaa.nilikuja mbioo.., wacha nishike breki kwanza....
Nimeumia sana roho...umaskini mbaya sana.Mimi ndo nimekuomba bby tutoke wote.