Member gani JF ungependa kuwa nae siku ya Valentine day?

Member gani JF ungependa kuwa nae siku ya Valentine day?

Haina maana Ku assume,!!

Tuwe tuna leta topic za kujenga sio haya mawazo ya kitoto!
Utajenga mpaka lini mkuu?

Sema ukiwish kua-nae siyanazungumzika tu na inawezekana ukawanae kweli.....
 
Back
Top Bottom