Member gani JF ungependa kuwa nae siku ya Valentine day?

Member gani JF ungependa kuwa nae siku ya Valentine day?

Ningependa nitoke na Nyani Ngabu sema yuko mbali, Saint Ivuga kaniambia hataki kutoka na mimi sababu nikipendeza wataniiba mafisi.
RRONDO Naomba Tutoke wote.
Umenivunjia heshima sana. Yaani mimi ndio last option baada ya hao wawili kukutosa?!!! Umechelewa kuna wenzio watano wanataka niwe Valentine wao kichwa kinaniuma napanga ratiba kwasababu sitaki hata mmoja aumie.
 
Back
Top Bottom