RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Haina maana Ku assume,!!
Tuwe tuna leta topic za kujenga sio haya mawazo ya kitoto!
Umeamua kuendeleza mawazo ya kitoto?Napenda kuonan na wewe!
[emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina maana Ku assume,!!
Tuwe tuna leta topic za kujenga sio haya mawazo ya kitoto!
Umeamua kuendeleza mawazo ya kitoto?Napenda kuonan na wewe!
[emoji1]
Andaa maua na maapple [emoji519] ya kutoshaKaribu sana, nakusubili kwa hamu sana yani!
Ndiyo sasa nifanyeje kama wakati uwanja wenyewe ndo huyu ,nimeamua Ku conform tu [emoji41] [emoji41]Umeamua kuendeleza mawazo ya kitoto?
Twende zetu pm Hapa Hapafai tenaNdiyo sasa nifanyeje kama wakati uwanja wenyewe ndo huyu ,nimeamua Ku conform tu [emoji41] [emoji41]
Usijari kabisa nashukuru kwa kuniandaa, karibu ufurahi furaha mpya kabisa ya msimu huu wa wapendanao!Andaa maua na maapple [emoji519] ya kutosha
Kwa ajili ya Valentine day pamoja na wine laini
Tumeona ee karibu mlango nishafungua! NakusubiliTwende zetu pm Hapa Hapafai tena
Mkuu, wewe chagua wako. Mambo mengine tuachie wachaguaji. Machaguo yangu manne ni Miss Natafuta, [FONT=Tahoma][SIZE=7][COLOR=#0000ff][B]NAHUJA[/B][/COLOR][/SIZE][/FONT], ukhuty na niah
Nishaanza kuweka bajeti yako tayr !Andaa maua na maapple [emoji519] ya kutosha
Kwa ajili ya Valentine day pamoja na wine laini
Ngoja nikuitie Saint Ivugasaint ivunga!????
Nasubir kutajwa
Napita Kwa kukodoa macho kodoooo
Kama utakuwa Dar tutafutaneAhsante sana Wakili Msomi Petro E. Mselewa
.Ngoja nikuitie Saint Ivuga
Hapana wakili, nitakuwa Mwanza kwa ajili ya kuanza rasmi mfungo wa kwaresma siku hyo itakuwa ndio Jumatano ya majivuKama utakuwa Dar tutafutane
Nahuja upo my friend ID yangu ile ishapotezwa mazimaAhsante sana Wakili Msomi Petro E. Mselewa
Njoo ngudu tupakwe majivu vizuriHapana wakili, nitakuwa Mwanza kwa ajili ya kuanza rasmi mfungo wa kwaresma siku hyo itakuwa ndio Jumatano ya majivu