Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Hajui kubembeleza kabisaUsikubari kizembe jamaa yangu mkazie ataelewa tu huyo
Kijana una balaa wewe!
Ule wa wanaume mnatuudhiUzi wako upi mama?
Nikikuwa nawapa maujanjaWewe na mwenzio Mzigua90 Mungu anawaona!
Mpeleke kabisa bongoyo.Double Tree napaona kwa kishamba, Slipway patafaa...diner for two!
Akaaa nakutaka wewe mimi.Wewe njoo na Nyani Ngabu wako mimi nitakuwa na Demiss
Unapenda wasukuma tu eeeh.Na kweli mi na wachaga mbali mbali
Kwahyo mkuu huoni mipango ninayopanga na demiss au?Wewe njoo na Nyani Ngabu wako mimi nitakuwa na Demiss
Wewe njoo na Nyani Ngabu wako mimi nitakuwa na Demiss
Kwanini sasa jamani.Mnataja tu locations, sijui hata Kama mshawahi kufika huko[emoji23]
RRONDO.....Mie kuna huyu kaka anaitwaaa R....
Hahahaaa namtamani kinoma
Wasukuma wapo damuni ,wakinishinda nahamia kwa wasonjoUnapenda wasukuma tu eeeh.