Member gani JF ungependa kuwa nae siku ya Valentine day?

Member gani JF ungependa kuwa nae siku ya Valentine day?

Kupendwa rahaaaa, usiwe unakaa na donge moyoni, ukimpenda mtu make sure unamwambia. Thanx...lov u tooo
Unavyoambiwa hua unarespond?
Mimi toka last year nakupigia misele tu unanipotezea.
Unadhani hata nikipenda mwingine nitaanzaaje kumwambia
 
Back
Top Bottom