Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ye hana haja ya foleni anajua nitakua nae tuFolen umeiona lakini?
Ooo baby nimeona nikutaje live nimechoka kufichaLove.
Nitapambana usijari.Folen umeiona lakini?
[emoji7] [emoji7]I can’t wait
Billie we muongo haki ya MunguNo baby mi sisikii wala sioni ujue beby we ndo nakuona mwanamke peke yango wengine nawaona kama ngedere tu sijui kwa nini beby
Kwa nini tena @dnazarde? Unataka unitumbue mbèle ya baby mbona [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Billie we muongo haki ya Mungu
Asante ukiona wengi wanamlilia ujue ana upekee so wacha nipambane tuAya utulie sasa usikubali maombi mengine
Umeshashinda chief
Sikutumbui ila umedanganya hahahaha uongo mkubwaaKwa nini tena @dnazarde? Unataka unitumbue mbèle ya baby mbona [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wacha nitambe tuNakuona katika ubora wako mkuu billie