Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteeeeIla umetisha sana
Nyooooo eti ngedereNo baby mi sisikii wala sioni ujue beby we ndo nakuona mwanamke peke yango wengine nawaona kama ngedere tu sijui kwa nini beby
Sawa shemeji.Aya utulie sasa usikubali maombi mengine
Umeshashinda chief
HahahahaaPair wapi mkuu huoni mtu mmoja ana watu sita?
[emoji3]No baby mi sisikii wala sioni ujue beby we ndo nakuona mwanamke peke yango wengine nawaona kama ngedere tu sijui kwa nini beby
Huna haja ya kupambana my love.Asante ukiona wengi wanamlilia ujue ana upekee so wacha nipambane tu
Ko kanidanganya kuwa mie ndo ananipenda?Sikutumbui ila umedanganya hahahaha uongo mkubwaa
Nimemkumbuka mnoHahah!! Huyo mrembo kasahaulika kabisa jmn bora ata ww umemkumbuka
WeeeeeYeaah kama hivyo sawa,maana najua hupendi mak....meusi [emoji23][emoji23]
Nimemkumbuka mnoHahah!! Huyo mrembo kasahaulika kabisa jmn bora ata ww umemkumbuka
Huyu naomba niachie mwenzaAhaaa mwenza jaman me nawewe damu damu tunashare mbona me si mchoyo nakuruhusu tu share