Smart phone
Member
- Feb 27, 2017
- 27
- 22
Officialnahya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyingi sana twende zetu commoroUna hela?
Mkuu hawa watoto ni Wakali Acha kabisa....nina Uhakika na Ninayoyasema....Mkuu nakuona unavyojilimbikizia mali [emoji2] [emoji2]
watu wengine wasipokandia hawaoni kama siku itaenda halafu wanajisahauUmeamua kuendeleza mawazo ya kitoto?
Aisee hii offer sio ya kuikataa kabisa.....kila mtu anaitamaniHahah! naona umekutana na offer ambayo kuikataa inahitajika uwe na moyo mgumu zaidi ya chuma
Usijari tutakuwa pamoja
Ohoo na mm nakutakaBasi mimi namtaka INNA
Homeboy nakulindia vifaa vyako tuHahah!!
Nakufatilia sana kwa ukaribu [emoji2]
Hahah embu kuna huyu queen Marie naomba umpe ulinzi wa kutosha zaidi mana nahisi naendana nae sanaHomeboy nakulindia vifaa vyako tu
Kaka amesema nikurinde wasije kukuiba[emoji116]