queen Marie
Member
- Jun 4, 2017
- 23
- 35
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaaaaaahaaaaaHebu njoo whatsup unichagulie Nguo ya kutokea
Haaaah ucjal mkuuMama Sabrina ,
Japokuwa sjajua mkakati wake na Dr. ulimwengu unaendaje ila nna sura mbaya sana nahisi itakua kikwazo[emoji134]
Njoo na PM basi [emoji8]
Amna nilikuwa namtania tu[emoji23] [emoji23]Aje kufanya nn tena?
Kabla hajazaliwa nilijuwa LAZMA AWE MZURI MWENYE UZUR WA KIPEKEE[emoji257] [emoji7]Naona umeelewa kazi
Hujapataga mwenye chura tu wewe?Hivi humu JF ni Manzi gani ana chura?
Kwa maana ulisha waona mkuuMkuu hawa watoto ni Wakali Acha kabisa....nina Uhakika na Ninayoyasema....
Davet(ME)
Hem muulize kwanza ni ke?
Ndo nimeshajiongeza hivoUmebahatika ww sasa fanya kweli
Hongela sana nitakua wa mwisho kama nilivyokuaToka jana sijahitajika na mtu yani ndio mana leo nmeshtuka sana