Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Wiki hii umemuona humu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wiki hii umemuona humu?
Nitakutana na walio subiri bado niponipo kwanzaKumbe kaanza kitambo huu atafutaji wake?
Watu wanajuana humu mkuu
Nahic kama ni Me
Hahah!! Changamka mkuu usikate tamaa
Tutapata jibu kupitia swali languKwanza huyo n me au ke?
Maamuzi yatafanyika tu wala sitafika mpaka kwenye ugomviFanya maamuzi sahihi bado mapema usije sababisha ugomvi
Hata haijulikani jinsia yake teh teh teh. Ndo maana nimwambia hivo ajitokezeKwanza huyo n me au ke?
Naweza kukusaidiaMaamuzi yatafanyika tu wala sitafika mpaka kwenye ugomvi
Heheheheeeee haina shida nitayafanya maamuzi mwenyeweNaweza kukusaidia
Kweli kabisaHaina maana Ku assume,!!
Tuwe tuna leta topic za kujenga sio haya mawazo ya kitoto!
Haya bhana ila mimi nimejitolea tu...... teh teheHeheheheeeee haina shida nitayafanya maamuzi mwenyewe
Nashukuru kwa kujitolea love......be blessedHaya bhana ila mimi nimejitolea tu...... teh tehe
ndio hata masaa machache alikuwepo, kwani vipi?Wiki hii umemuona humu?
Sijamuona masiku kadhaandio hata masaa machache alikuwepo, kwani vipi?
YupoSijamuona masiku kadhaa
Hongela mkuuYupo
Aaah!Hongela mkuu
twende visiwani mtoto achana na wababaishajiAiseeee sasa jamani mbona nachanganyikiwa tena......sijui nichague wapi