Member gani JF ungependa kuwa nae siku ya Valentine day?

Hahahhaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti flat screen ngoja nitoke humu kwa huu msimu wa frog na vyura[emoji38][emoji38][emoji38][emoji41][emoji41][emoji125]

Sent from my LG-D959 using JamiiForums mobile app
 
Kupendana hakuna siku maalum siku yoyote na saa yoyote unaweza mpenda mwenza wako mama yako,baba yako,ndugu,rafiki,jamaa,jirani na yatima pia nakadhalika na watu wasuhusuyo kwao.
Upendo hauna tarehe maalum wala siku maalum muda wowote unaweza penda,hayo ya valentine's day waachie akina Trump uko kwao,si waafrika yanatuhusu?Ukisikia ushothele ndo huu.
 
Hapo mwisho kabisa ndipo ulipoharibu mkuu ila poa ngoja tuwe wapole, ila huu uzi haujataka watu watafutane ili wakapendane hyo siku

Watu wanapendana kila siku tunajua hilo ila dhumuni la uzi ni watu kutafutana ile wawe pamoja hiyo siku...
 
Back
Top Bottom