Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi nyie mnapenda kweli au ndo drama za mitandaoni ku showcase bila reality yoyote. Ningefurahi kujua kama kweli mnapendanaLove you more sweetheart... . Am waiting the day ileeeee nilokwambia naona haifikiii Yani nina hamuuuuuuuu
Ngoja hii niweke akiba nitaitumia siku nyingine [emoji12] [emoji12] [emoji12]Sio First Born (FB)[emoji51][emoji51][emoji85][emoji85][emoji85]
Sent from my LG-D959 using JamiiForums mobile app
Mahaba niue [emoji12]
nashauri upande fast jet ya mshana jr maana ina uhakika na ni FAST kweli kweli. haina historia ya ajali. na hata ikitokea haitangazwi.Waoooh naomba nipande fast jet Kukufata ulipooo
Kaja na kafika salama mkuu,nashauri upande fast jet ya mshana jr maana ina uhakika na ni FAST kweli kweli. haina historia ya ajali. na hata ikitokea haitangazwi.
Full mahabaaaKaja na kafika salama mkuu,
nasubiri manyoya tu ndio nijue kesha.......!Kaja na kafika salama mkuu,
Hatimaye nimetajwa[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]... Babe fungua PM yako basi [emoji15] [emoji15] [emoji15]Joseverest [emoji137] [emoji137] [emoji137]
Halaf vi avatar vyenu vinafanana ahahahHatimaye nimetajwa[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]... Babe fungua PM yako basi [emoji15] [emoji15] [emoji15]