Member gani JF ungependa kuwa nae siku ya Valentine day?

Member gani JF ungependa kuwa nae siku ya Valentine day?

Kama tujuavyo huu msimu unasemekana ni wawapenda-nao sasa ni member gani humu JF ungependa awe partner wako siku hiyo?

Mimi namuwahi Shunie bado mapemaa
Mdada Atakaekosa Wa Kumtoa Valentine Aje Pm muda wa Jioni ili Kujiridhisha Amekosa MTU!si Vibaya akieleza Nani alikuwa anamtegemea na Akamtosa[emoji30] [emoji30] [emoji6]
 
Haya haya dakika ndio hizoooo,Tuliokosa warembo tujiandae na kwaresma ,jioni UEFA league kama kawa
[emoji124]
 
Back
Top Bottom