Member kajiunga jumatatu, jumatano ni senior member, howww?

Zamani watu walisotea sana hizi status. Siku hizi ndio maana jf imepoyeza credibility yake kwa kiasi kikubwa. Watu maarufu na wenye heshima zao walishaacha kuandika jf, utoto na mwingi sana.
Unayosema ni kweli kabisa!!!! JF ya miaka ya 2005 na sasa hivi ni vitu viwili tofauti kabisa!!! Sasa hivi watoto wengi wamevamia JF na kuiharibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…