loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,887
- 6,657
Huyu member KUNI alileta uzi juzi tumshauri a cash out 2M ama asubiri tu mechi ya Ureno na Uzbekistan mkeka utiki apate 18M.
Wengi walimshauri a cash out lakini mwenyewe akakomaa atasubiri.
Alibet Ureno atafunga magoli ma3 kabla half time na sasa hivi ureno wanaongoza 2-0 dakika ya 25 najuwa mwamba roho juu.
Tumuombee asee
adriz de mbusii