Mkeka wa kuchora na IA ule msiamini kila kituHuyu member @KUNI alileta uzi juzi tumshauri a cash out 2M ama asubiri tu mechi ya Ureno na Uzbekistan mkeka utiki apate 18M.
Wengi walimshauri a cash out lakini mwenyewe akakomaa atasubiri.
Acha wivu na uchawi.Mkeka wa kuchora na IA ule msiamini kila kitu
Kwamba AI ilitabiri Portugal atascore 3 goals first half kabla ya mechi. Tupe maujanja mkuu, tutajirike kupitia hiyo AI.Mkeka wa kuchora na IA ule msiamini kila kitu
AiseeHuyu member KUNI alileta uzi juzi tumshauri a cash out 2M ama asubiri tu mechi ya Ureno na Uzbekistan mkeka utiki apate 18M.
Wengi walimshauri a cash out lakini mwenyewe akakomaa atasubiri.
Alibet Ureno atafunga magoli ma3 kabla half time na sasa hivi ureno wanaongoza 2-0 dakika ya 25 najuwa mwamba roho juu.
Tumuombee asee
adriz de mbusii
Hii ndio bongo mkuu, wachawi hua hawakosekani kabisa...si ajabu hata jamaa anatamani amloge jamaa ..mwingine anasikia wivu Hadi anatamani kunywa sumu kwa hasiraAcha wivu na uchawi.
kama AI angeweka option rahisi.
Ila 1st half over 2.5 tena kwa timu moja. Ni option ngumu sana.