ssamora kuwa mkweli,una id ngapi?
sijawahi pitia jukwaa la dini,nahisi mambo ya ID nyingi yanaanzia huko,hebu nikaone kilichomoID moja itawezekana tu kama Mods wataacha uonevu, na pia kama watakuwa wanazipeleka kwenye trash thread zote za kipumbavu na comment zote za kijinga na kulifuta kabisa jukwaa la dini na kuzidelete immidiately thread zote za kichochezi za kidini n:k.
uwezi kuingia mpaka uPM Invisiible ndio akupe access.sijawahi pitia jukwaa la dini,nahisi mambo ya ID nyingi yanaanzia huko,hebu nikaone kilichomo
Basi... Bora imekua ngumu kuaccess,maana dini yenyewe siijui vizuri ntaenda kujichanganya tu.Sijajua la mtu wa kwanza Adam au nyani nikiingia huko si ntajikoroga zaidi!Hebu nirudi nilikokuzoea,free kwa ID 1 tu.uwezi kuingia mpaka uPM Invisiible ndio akupe access.
Kule hapakufahi panawafaa zaidi mafundamentalist wa kidini au wafia dini, lakini kama ni mtu moderate wala hakuna mpango wowote mimi nina access lakini laliskip hilo jukwaa.Basi... Bora imekua ngumu kuaccess,maana dini yenyewe siijui vizuri ntaenda kujichanganya tu.Sijajua la mtu wa kwanza Adam au nyani nikiingia huko si ntajikoroga zaidi!Hebu nirudi nilikokuzoea,free kwa ID 1 tu.
Ceteri palibus. umenena vyema.Wenye ID moja ni janga la JF! Hawana uwezo wa kuwa majasili! Free will inafanya Maisha yawe kwenye mwanga bora! I love multiples