Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Dunia inamaajabu yake Kuna member humu anajiita mnyarwanda na anamapenzi makubwa na kagamee pia anapenda Sana stori za kujidai yeye ni Kama membee Yani mbobezi.
Za chinichini zinasema jamaa ni mfupi Sana wa kimo ndio maana Yuko obsessed na rwander na utusii nk
Chanzo chetu kinapasha kwamba anajua vistoristori vya rwander kwasababu anatokea goma Kongo.
Genta gwan man.