3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Mi sijuiYeye nani ZAKAYO ama[emoji1787][emoji23][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi sijuiYeye nani ZAKAYO ama[emoji1787][emoji23][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wafupi tunadharirika sana
Ila tumeumbwa kwa mfano wake yeye
Nmecheka mnooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yeye nani ZAKAYO ama[emoji1787][emoji23][emoji1787]
Sasa unasemaje na hujui.. [emoji23], sisi vistuli sijuj tutakuwa mfano wa nanj sasa[emoji848]Mi sijui
What's the tallent?Huyo jamaa nimeamini hakika ni talented na charismatic fela kama anavyojinasibu,hata hajishughulishi kujibu upuuzi ingawa ni uzi wa muda mrefu lakini kapiga kimiya mbayaa
Unauliza ushuzi chooni au?What's the tallent?
🤣🤣🤣 kumbee...ndio maana ukimpinga ana hasira..Dunia inamaajabu yake Kuna member humu anajiita mnyarwanda na anamapenzi makubwa na kagamee pia anapenda Sana stori za kujidai yeye ni Kama membee Yani mbobezi.
Za chinichini zinasema jamaa ni mfupi Sana wa kimo ndio maana Yuko obsessed na rwander na utusii nk
Chanzo chetu kinapasha kwamba anajua vistoristori vya rwander kwasababu anatokea goma Kongo.
Genta gwan man.
Weeweeee....!Mwamba huyu hapaView attachment 2884474
Duh!!!Duu!! Kumbe kujimwambafia kote humu ni ANDUJEE?
[emoji16][emoji16][emoji16]