Member maarufu anayejidai mnyarwanda na mwenye stories za ujasusi kumbe ni mbilikimo .

Leo siku ya tatu bado hajajitokeza ni kwamba hayupo humu mtoa mada?
 
Bila shaka unamzungumzia MAISINI.

Jamaa hajiamini kabisa,
Anapinga hoja kwa matusi na taarabu.

Bila shaka ana undugu na Yule shehe wa mkoa ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…