Numero Uno
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 607
- 1,302
Sawa tumekuelewaKwema wakuu,
Kwa wale memba maarufu humu wa mda mrefu mnaoheshimika kwenye michango yenu, Kama huna ufahamu wa jambo fulani usiwe unacomeent negative kwenye mabandiko ya watu,
Baadhi ya watu wengine sijui ni uwezo mdogo wao wakiona mtu maarufu kacomment kitu wanamini ni kweli tu nao wanaungana nae ama
🤣🤣🤣Mambo yao waachie wenyewe.
Yasikuumize kichwa!
Naona mtu maarufu umecomment [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kama uko ndotoni, kumekucha
Mambo yao waachie wenyewe.
Yasikuumize kichwa!
🤣🤣Mambo yao waachie wenyewe, yasikuumize kicha...
Ngoja tukatoe shukrani na mwenyekiti kesho tukurudieNaona mtu maarufu umecomment [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Habari za siku mzee mwenzangu, bado upo Visiga?Ngoja tukatoe shukrani na mwenyekiti kesho tukurudie