Member maarufu

Member maarufu

Numero Uno

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2020
Posts
607
Reaction score
1,302
Kwema wakuu,

Kwa wale memba maarufu humu wa mda mrefu mnaoheshimika kwenye michango yenu, Kama huna ufahamu wa jambo fulani usiwe unacomeent negative kwenye mabandiko ya watu,

Baadhi ya watu wengine sijui ni uwezo mdogo wao wakiona mtu maarufu kacomment kitu wanamini ni kweli tu nao wanaungana nae ama
 
Sawa tumekuelewa
 
Kuna aliyegundua kwamba alichocomment Cc: Mahondaw na Cc: Smart911 Vinafanana kasoro makosa ya kimaandishi?

Anyway mambo ya watu yataniumiza kichwa
 
inaonekana haupo huru
kuwa huru ni kusimamia kile unachokiamini kwa kuipinga HOJA kwa HOJA bira zaidi
Hivyo ukiona comment ya HOVYO isiyokidhi ukweli au PUMBA tumia busara na umakini katika kuiweka sawa kuikosoa
Wengi huwa na muhemko wa Lugha za maudhi kejeli na matusi
binafsi huwa napenda kupinga HOJA kwa HOJA bora zaidi
na pia huwa najiepusha kucomment au aina flan za thread au baadhi ya comment ambazo binafsi naona azikidhi viwango vyangu ma pia kuna baadhi ya memba nimewaignore 7bu ya aina ya thread zao na comment zao

hvyo mkuu ni kuwapotezea au kuwapinga kwa HOJA kali zaidi
 
Usiangalie mtu kuwa huru na sema unachoamini hata wakikutukana
 
Back
Top Bottom